Ezekiel 41:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia sakafu hadi eneo lililo juu ya ingilio, palinakshiwa makerubi na mitende, pamoja na kwenye ukuta wa nje wa Patakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toka chini hata juu ya mlango makerubi yamefanyika, na mitende, na vivi hivi ukuta wa hekalu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia sakafu mpaka eneo lililo juu ya ingilio, palinakshiwa makerubi na miti ya mitende pamoja na kwenye ukuta wa nje wa patakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia sakafu mpaka eneo lililo juu ya ingilio, palinakshiwa makerubi na miti ya mitende pamoja na kwenye ukuta wa nje wa patakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toka chini hadi juu ya mlango makerubi yamefanyika, na mitende, na vivi hivi ukuta wa hekalu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
tangu sakafu hadi juu ya milango palichorwa viumbe wenye mabawa na mitende.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Toka chini mpaka juu ya mlango palikuwa pamechorwa Makerubi na mitende penye ukuta wa Nyumba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toka chini hata juu ya mlango makerubi yamefanyika, na mitende, na vivi hivi ukuta wa hekalu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
tangu sakafu mpaka juu ya milango kulichorwa makerubi na miti ya ngazi.