Ezekiel 41:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miimo ya mahali patakatifu ilikuwa ya mraba. Mbele ya mlango wa kuingilia mahali patakatifu kabisa kulikuwa na kitu kilichoonekana kama
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mahali patakatifu pa nje palikuwa na miimo ya mlango uliokuwa mraba; na ule uliokuwa katika Patakatifu Pa Patakatifu ulifanana na huo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hilo hekalu, miimo ya milango yake ilikuwa ya miraba; na mbele ya patakatifu kuonekana kwake palionekana kama hapo kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miimo ya mahali patakatifu ilikuwa ya mraba. Mbele ya mlango wa kuingilia mahali patakatifu kabisa kulikuwa na kitu kilichoonekana kama
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mahali patakatifu pa nje palikuwa na miimo ya mlango uliokuwa mraba na ule uliokuwa katika Patakatifu Pa Patakatifu ulikuwa unafanana na huo mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mahali patakatifu pa nje palikuwa na miimo ya mlango uliokuwa mraba na ule uliokuwa katika Patakatifu Pa Patakatifu ulikuwa unafanana na huo mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hilo hekalu, miimo ya milango yake ilikuwa ya miraba; na mbele ya patakatifu kuonekana kwake palionekana kama hapo kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miimo ya mahali patakatifu ilikuwa ya mraba. Mbele ya mlango wa kuingilia mahali patakatifu kabisa kulikuwa na kitu kilichoonekana kama
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo Patakatifu miimo ilikuwa yenye pembe nne, napo Patakatifu Penyewe, nilipopatazama, pakaoneka kuwa vivyo hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hilo hekalu, miimo ya milango yake ilikuwa ya miraba; na mbele ya patakatifu kuonekana kwake palionekana kama hapo kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miimo ya Pahali Patakatifu ilikuwa ya muraba. Mbele ya mulango wa kuingilia Pahali Patakatifu Sana kulikuwa kitu kilichoonekana kama