Ezekiel 41:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwako na mlango wa tarabe wa kuingia kwenye ukumbi wa hekalu na mlango wa tarabe wa kuingia mahali patakatifu kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mahali patakatifu pa nje na Patakatifu Pa Patakatifu zilikuwa na milango miwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nalo hekalu na patakatifu palikuwa na milango miwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwako na mlango wa tarabe wa kuingia kwenye ukumbi wa hekalu na mlango wa tarabe wa kuingia mahali patakatifu kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mahali patakatifu pa nje na Patakatifu Pa Patakatifu zilikuwa na milango miwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mahali patakatifu pa nje na Patakatifu Pa Patakatifu zilikuwa na milango miwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nalo hekalu na patakatifu palikuwa na milango miwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwako na mlango wa tarabe wa kuingia kwenye ukumbi wa hekalu na mlango wa tarabe wa kuingia mahali patakatifu kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Palikuwa na milango miwili hapo Patakatifu, tena Patakatifu Penyewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nalo hekalu na patakatifu palikuwa na milango miwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa mulango wa kuingia kwenye baraza la hekalu na mulango wa kuingia kwenye Pahali Patakatifu Sana.