Ezekiel 41:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Milango hiyo ilikuwa ya tarabe, kwa hiyo kila mlango uliweza kufunguka katikati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mlango ulikuwa na vipande viwili, vipande viwili vilivyoshikwa na bawaba vyenye kufunguka kwa kila mlango.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na milango hiyo, kila mmoja ulikuwa na mbao mbili; mbao mbili zigeukazo; mbao mbili za mlango mmoja, na mbao mbili za mlango wa pili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Milango hiyo ilikuwa ya tarabe, kwa hiyo kila mlango uliweza kufunguka katikati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mlango ulikuwa na vipande viwili, vipande viwili vilivyoshikwa na bawaba vyenye kufunguka kwa kila mlango.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mlango ulikuwa na vipande viwili, vipande viwili vilivyoshikwa na bawaba vyenye kufunguka kwa kila mlango.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na milango hiyo, kila mmoja ulikuwa na mbao mbili; mbao mbili zigeukazo; mbao mbili za mlango mmoja, na mbao mbili za mlango wa pili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Milango hiyo ilikuwa ya tarabe, kwa hiyo kila mlango uliweza kufunguka katikati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii milango miwili ilikuwa yenye mbao mbili zizungukazo, ambao mbili za mlango huu mmoja, tena mbao mbili za mlango ule mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na milango hiyo, kila mmoja ulikuwa na mbao mbili; mbao mbili zigeukazo; mbao mbili za mlango mmoja, na mbao mbili za mlango wa pili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Milango hiyo ilikuwa na sehemu mbilimbili, kwa hiyo kila mulango uliweza kufunguka katikati.