Ezekiel 41:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pembeni mwa chumba hiki, kulikuwa na madirisha madogo na kuta zilipambwa kwa michoro ya mitende.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kuta za pembeni za ukumbi kulikuwa na madirisha membamba yaliyonakshiwa mitende kila upande. Vyumba vya pembeni vya Hekalu pia vilikuwa vimefunikwa kwa mbao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena palikuwa na madirisha yaliyofungwa, na mitende, upande huu na upande huu, katika pande za ukumbi; ndiyo habari ya vyumba vya mbavuni vya nyumba hiyo, na vya boriti zile nene.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pembeni mwa chumba hiki, kulikuwa na madirisha madogo na kuta zilipambwa kwa michoro ya mitende.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kuta za pembeni za ukumbi kulikuwa na madirisha membamba yaliyonakshiwa miti ya mitende kila upande. Vyumba vya pembeni vya Hekalu pia vilikuwa vimefunikwa kwa mbao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kuta za pembeni za ukumbi kulikuwa na madirisha membamba yaliyonakshiwa miti ya mitende kila upande. Vyumba vya pembeni vya Hekalu pia vilikuwa vimefunikwa kwa mbao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena palikuwa na madirisha yaliyofungwa, na mitende, upande huu na upande huu, katika pande za ukumbi; ndiyo habari ya vyumba vya mbavuni vya nyumba hiyo, na vya boriti zile nene.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pembeni mwa chumba hiki, kulikuwa na madirisha madogo na kuta zilipambwa kwa michoro ya mitende.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Madirisha yenye vyumba na machoro ya mitende yalikuwa upande wa huku na upande wa huko penye kuta za ukumbi napo penye vyumba vya kando vya hiyo Nyumba napo penye zile baraza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena palikuwa na madirisha yaliyofungwa, na mitende, upande huu na upande huu, katika pande za ukumbi; ndiyo habari ya vyumba vya mbavuni vya nyumba hiyo, na vya boriti zile nene.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pembeni ya chumba hiki, kulikuwa madirisha madogo na kuta zilipambwa kwa michoro ya miti ya ngazi.