Ezekiel 41:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, nikaona kuwa hekalu lilikuwa na sakafu iliyonyanyuliwa kulizunguka, nayo ilikuwa ndio msingi wa zile ghorofa tatu mkabala na hekalu, kimo cha msingi wa ghorofa hizo ulikuwa sawa na ule ufito wa kupimia, mita tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nikaona kwamba Hekalu lilikuwa na kitako kilichoinuliwa pande zote; huu ukawa msingi wa vile vyumba vya pembeni. Ulikuwa na urefu wa ule ufito mmoja wa kupimia, yaani dhiraa ndefu sita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, nikaona ya kwamba nyumba ile ilikuwa na sakafu ya mawe, iliyoinuliwa pande zote; nayo misingi ya vyumba vya mbavuni ilikuwa mwanzi mzima wa dhiraa sita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, nikaona kuwa hekalu lilikuwa na sakafu iliyonyanyuliwa kulizunguka, nayo ilikuwa ndio msingi wa zile ghorofa tatu mkabala na hekalu, kimo cha msingi wa ghorofa hizo ulikuwa sawa na ule ufito wa kupimia, mita tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nikaona pia kuwa Hekalu lilikuwa na kitako kilichoinuliwa pande zote, huu ulikuwa ndio msingi wa vile vyumba vya pembeni ambao ulikuwa na urefu wa ule ufito mmoja wa kupimia, yaani, dhiraa ndefu sita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nikaona pia kuwa Hekalu lilikuwa na kitako kilichoinuliwa pande zote, huu ulikuwa ndio msingi wa vile vyumba vya pembeni ambao ulikuwa na urefu wa ule ufito mmoja wa kupimia, yaani, dhiraa ndefu sita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, nikaona ya kwamba nyumba ile ilikuwa na sakafu ya mawe, iliyoinuliwa pande zote; nayo misingi ya vyumba vya mbavuni ilikuwa mwanzi mzima wa dhiraa sita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, nikaona kuwa hekalu lilikuwa na sakafu iliyonyanyuliwa kulizunguka, nayo ilikuwa ndio msingi wa zile ghorofa tatu mkabala na hekalu, kimo cha msingi wa ghorofa hizo ulikuwa sawa na ule ufito wa kupimia, mita tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipoitazama Nyumba nikaona palipoinuka kuizunguka pande zote; ndipo, misingi ya vyumba vya kando ilipokuwa, urefu wao wa kwenda juu ulikuwa mwanzi mzima wa mikono sita mpaka juu ukingoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, nikaona ya kwamba nyumba ile ilikuwa na sakafu ya mawe, iliyoinuliwa pande zote; nayo misingi ya vyumba vya mbavuni ilikuwa mwanzi mzima wa dhiraa sita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, nikaona kwamba hekalu lilikuwa likizungukwa na sakafu iliyonyanyuliwa, nayo ilikuwa ndio musingi wa zile gorofi tatu mbele ya hekalu, kimo cha musingi wa gorofi hizo ulikuwa sawa na ule ufito wa kupimia, metre tatu.