Ezekiel 41:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unene wa ukuta wa nje wa vyumba vya ndani ulikuwa mita mbili u nusu. Nafasi wazi kati ya vyumba vya pembeni mkabala na hekalu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukuta wa nje wa vyumba vya pembeni ulikuwa na unene wa dhiraa tano. Eneo la wazi katikati ya vyumba vya pembeni vya Hekalu
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unene wa ukuta uliokuwa wa vile vyumba vya mbavuni, upande wa nje, ulikuwa dhiraa tano; nayo nafasi iliyobaki ilikuwa dhiraa tano; na kati ya vyumba vya mbavuni vya nyumba,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unene wa ukuta wa nje wa vyumba vya ndani ulikuwa mita mbili u nusu. Nafasi wazi kati ya vyumba vya pembeni mkabala na hekalu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ukuta wa nje wa vyumba vya pembeni ulikuwa na unene wa dhiraa tano. Eneo la wazi katikati ya vyumba vya pembeni vya Hekalu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ukuta wa nje wa vyumba vya pembeni ulikuwa na unene wa dhiraa tano. Eneo la wazi katikati ya vyumba vya pembeni vya Hekalu
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unene wa ukuta uliokuwa wa vile vyumba vya mbavuni, upande wa nje, ulikuwa dhiraa tano; nayo nafasi iliyobaki ilikuwa dhiraa tano; na kati ya vyumba vya mbavuni vya nyumba,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unene wa ukuta wa nje wa vyumba vya ndani ulikuwa mita mbili u nusu. Nafasi wazi kati ya vyumba vya pembeni mkabala na hekalu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upana wa ukuta wa nje penye hivyo vyumba ulikuwa mikono mitano; napo katikati vile vyumba vya kando ya Nyumba vilipatiwa mahali pao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unene wa ukuta uliokuwa wa vile vyumba vya mbavuni, upande wa nje, ulikuwa dhiraa tano; nayo nafasi iliyobaki ilikuwa dhiraa tano; na kati ya vyumba vya mbavuni vya nyumba,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unene wa ukuta wa inje wa vyumba vya ndani ulikuwa metre mbili na nusu. Nafasi wazi kati ya vyumba vya pembeni mbele ya hekalu