Ezekiel 42:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliuchukua ule ufito wake wa kupimia na kuupima upande wa mashariki, nao ulikuwa mita 250.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akapima upande wa mashariki kwa ule ufito wa kupimia, nao ulikuwa dhiraa mia tano.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaupima upande wa mashariki kwa mwanzi wa kupimia, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliuchukua ule ufito wake wa kupimia na kuupima upande wa mashariki, nao ulikuwa mita 250.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akapima upande wa mashariki kwa ule ufito wa kupimia, nao ulikuwa dhiraa 500.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akapima upande wa mashariki kwa ule ufito wa kupimia, nao ulikuwa dhiraa 500
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaupima upande wa mashariki kwa mwanzi wa kupimia, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliuchukua ule ufito wake wa kupimia na kuupima upande wa mashariki, nao ulikuwa mita 250.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaupima upande wa maawioni kwa jua kwa ule mwanzi wa kupimia, nao ulikuwa wote pia mianzi mia tano kwa kupima na ule mwanzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaupima upande wa mashariki kwa mwanzi wa kupimia, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitwaa ule ufito wake wa kupima na kuupima upande wa mashariki, nao ulikuwa metre mia mbili makumi tano.