Ezekiel 42:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akaupima upande wa kaskazini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akapima upande wa kaskazini, nao ulikuwa dhiraa mia tano kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaupima upande wa kaskazini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akaupima upande wa kaskazini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akapima upande wa kaskazini, nao ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akapima upande wa kaskazini, nao ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaupima upande wa kaskazini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akaupima upande wa kaskazini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaupima upande wa kaskazini, nao ulikuwa wote pia mianzi mia tano kwa kupima na ule mwanzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaupima upande wa kaskazini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akaupima upande wa kaskazini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa metre mia mbili makumi tano.