Ezekiel 42:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akaupima upande wa kusini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena akapima upande wa kusini, nao ulikuwa dhiraa mia tano kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaupima upande wa kusini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akaupima upande wa kusini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tena akapima upande wa kusini, nao ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena akapima upande wa kusini, nao ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaupima upande wa kusini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akaupima upande wa kusini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akaupima upande wa kusini, nao ulikuwa mianzi mia tano kwa kupima na ule mwanzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaupima upande wa kusini, mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akaupima upande wa kusini kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa metre mia mbili makumi tano.