Ezekiel 42:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akageuka na kupima upande wa magharibi kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha akageukia upande wa magharibi na kuupima, ulikuwa dhiraa mia tano kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akageuka aelekee upande wa magharibi, akapima mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akageuka na kupima upande wa magharibi kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha akageukia upande wa magharibi na kuupima, ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha akageukia upande wa magharibi na kuupima, ulikuwa dhiraa 500 kwa ufito ule wa kupimia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akageuka aelekee upande wa magharibi, akapima mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akageuka na kupima upande wa magharibi kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa mita 250.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akazunguka penye upande wa baharini, akaupima, nao ulikuwa mianzi mia tano kwa kupima na ule mwanzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akageuka aelekee upande wa magharibi, akapima mianzi mia tano, kwa mwanzi wa kupimia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akageuka na kupima upande wa magaribi kwa kutumia ufito wake, nao ulikuwa metre mia mbili makumi tano.