Ezekiel 42:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kulikuwako ghorofa tatu zilizounganisha mita 10 za ua wa ndani na zikiwa mkabala wa sakafu ya ua wa nje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbele ya zile dhiraa ishirini za ule ua wa ndani unaoelekeana na ile njia ya ua wa nje, kuliinuka vyumba virefu kimoja baada ya kingine vya ghorofa tatu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kukabili zile dhiraa ishirini za ua wa ndani, na kukabili sakafu ya mawe ya ua wa nje, palikuwa na baraza kukabili baraza katika orofa ya tatu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kulikuwako ghorofa tatu zilizounganisha mita 10 za ua wa ndani na zikiwa mkabala wa sakafu ya ua wa nje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbele ya zile dhiraa ishirini za ule ua wa ndani unaoelekeana na ile njia ya ua wa nje, kuliinuka vyumba virefu kimoja baada ya kingine vya ghorofa tatu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbele ya zile dhiraa ishirini za ule ua wa ndani unaoelekeana na ile njia ya ua wa nje, kuliinuka vyumba virefu kimoja baada ya kingine vya ghorofa tatu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kukabili zile dhiraa ishirini za ua wa ndani, na kukabili sakafu ya mawe ya ua wa nje, palikuwa na baraza kukabili baraza katika ghorofa ya tatu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kulikuwako ghorofa tatu zilizounganisha mita 10 za ua wa ndani na zikiwa mkabala wa sakafu ya ua wa nje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuielekea ile mikono ishirini ya ua wa ndani, tena kuielekea sakafu ya mawe ya ua wa nje palikuwa na baraza juu ya baraza penye madari matatu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kukabili zile dhiraa ishirini za ua wa ndani, na kukabili sakafu ya mawe ya ua wa nje, palikuwa na baraza kukabili baraza katika orofa ya tatu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kulikuwa gorofi tatu zilizounganisha metre kumi za kiwanja cha ndani na zikielekea sakafu ya kiwanja cha inje.