Ezekiel 43:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hii ndiyo sheria kuhusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu: Eneo lote linalozunguka nyumba ya Mwenyezi-Mungu juu ya mlima lazima liwe takatifu kabisa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hii ndiyo sheria ya Hekalu: Eneo lote linalozunguka Hekalu juu ya mlima litakuwa takatifu kuliko yote. Hii ndiyo sheria ya Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hii ndiyo sheria ya nyumba; juu ya kilele cha mlima, mpaka wake wote pande zote patakuwa patakatifu sana. Tazama, hii ndiyo sheria ya nyumba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hii ndiyo sheria kuhusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu: Eneo lote linalozunguka nyumba ya Mwenyezi-Mungu juu ya mlima lazima liwe takatifu kabisa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hii ndiyo sheria ya Hekalu: Eneo lote linalozunguka Hekalu juu ya mlima litakuwa takatifu kuliko yote. Hii ndiyo sheria ya Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hii ndiyo sheria ya Hekalu: Eneo lote linalozunguka Hekalu juu ya mlima litakuwa takatifu kuliko yote. Hii ndiyo sheria ya Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hii ndiyo sheria ya nyumba; juu ya kilele cha mlima, mpaka wake wote pande zote patakuwa patakatifu sana. Tazama, hii ndiyo sheria ya nyumba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hii ndiyo sheria kuhusu nyumba ya Mwenyezi-Mungu: Eneo lote linalozunguka nyumba ya Mwenyezi-Mungu juu ya mlima lazima liwe takatifu kabisa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya ndiyo maonyo yaipasayo hii Nyumba: Po pote penye mipaka yake izungukayo huku milimani juu ndipo Patakatifu penyewe. Yaangalieni haya maonyo yaipasayo Nyumba hii!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hii ndiyo sheria ya nyumba; juu ya kilele cha mlima, mpaka wake wote pande zote patakuwa patakatifu sana. Tazama, hii ndiyo sheria ya nyumba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hii ni sheria juu ya nyumba ya Yawe: Eneo lote linalozunguka nyumba ya Yawe juu ya mulima linapaswa kuwa takatifu kabisa.