Ezekiel 43:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sehemu ya juu ya madhabahu itakuwa mraba, mita 6 kila upande.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pale panapowashwa moto pa madhabahu ni mraba, urefu wake ni dhiraa kumi na mbili na upana wa dhiraa kumi na mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na pale pawashwapo moto, urefu wake dhiraa kumi na mbili, na upana wake kumi na mbili, mraba pande zake nne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sehemu ya juu ya madhabahu itakuwa mraba, mita 6 kila upande.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pale pawashwapo moto pa madhabahu ni mraba, urefu wake ni dhiraa kumi na mbili na upana wa dhiraa kumi na mbili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pale pawashwapo moto pa madhabahu ni mraba, urefu wake ni dhiraa kumi na mbili na upana wa dhiraa kumi na mbili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na pale pawashiwapo moto, urefu wake dhiraa kumi na mbili, na upana wake kumi na mbili, mraba pande zake nne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sehemu ya juu ya madhabahu itakuwa mraba, mita 6 kila upande.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo jiko la Mungu ni mikono kumi na miwili urefu wake, nao upana wake ni mikono kumi na miwili, pande zake nne ni sawa, zenye pembe nne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na pale pawashwapo moto, urefu wake dhiraa kumi na mbili, na upana wake kumi na mbili, mraba pande zake nne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sehemu ya juu ya mazabahu itakuwa muraba, metre sita kila upande.