Ezekiel 43:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea upande wa mashariki. Pamoja nao kulikuwapo mshindo wa kuja kwake kama mshindo wa maji mengi, nchi ilingaa kwa utukufu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nami nikaona utukufu wa Mungu wa Israeli ukija kutoka upande wa mashariki. Sauti yake ilikuwa kama ya ngurumo ya maji yaendayo kasi, nayo nchi ikang’aa kwa utukufu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na sauti yake ilikuwa kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling'aa kwa utukufu wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea upande wa mashariki. Pamoja nao kulikuwapo mshindo wa kuja kwake kama mshindo wa maji mengi, nchi iling'aa kwa utukufu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nami nikaona utukufu wa Mungu wa Israeli ukija kutoka upande wa mashariki. Sauti yake ilikuwa kama ya ngurumo ya maji yaendayo kasi, nayo nchi ikang'aa kwa utukufu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nami nikaona utukufu wa Mungu wa Israeli ukija kutoka upande wa mashariki. Sauti yake ilikuwa kama ya ngurumo ya maji yaendayo kasi, nayo nchi ikang’aa kwa utukufu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na sauti yake ilikuwa kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling'aa kwa utukufu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea upande wa mashariki. Pamoja nao kulikuwapo mshindo wa kuja kwake kama mshindo wa maji mengi, nchi ilingaa kwa utukufu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nilipotazama mara nikaona, utukufu wa Mungu wa Isiraeli ukija katika njia itokayo maawioni kwa jua, nao uvumi wake ulikuwa kama uvumi wa maji mengi, nayo nchi iliangaza kwa utukufu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na tazama, huo utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea kwa njia ya mashariki; na sauti yake ilikuwa kama mshindo wa maji mengi, nayo nchi iling’aa kwa utukufu wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wa Mungu wa Israeli ulitokea upande wa mashariki. Pamoja nao kulikuwa mushindo wa kuja kwake kama mushindo wa maji mengi, inchi ilingaa kwa utukufu wake.