Ezekiel 43:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakapokwisha kuitakasa, utatwaa fahali mdogo asiye na dosari na kondoo dume mmoja asiye na dosari na
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakapokuwa umemaliza kazi ya kuitakasa, utamtoa fahali mchanga pamoja na kondoo dume toka kwenye kundi, wote wawe hawana dosari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utakapokwisha kuitakasa, utatoa ng'ombe mume mchanga mkamilifu, na kondoo mume wa kundini mkamilifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakapokwisha kuitakasa, utatwaa fahali mdogo asiye na dosari na kondoo dume mmoja asiye na dosari na
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakapokuwa umemaliza kazi ya kuitakasa, utamtoa fahali mchanga pamoja na kondoo dume toka kwenye kundi, wote wawe hawana dosari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakapokuwa umemaliza kazi ya kuitakasa, utamtoa fahali mchanga pamoja na kondoo dume toka kwenye kundi, wote wawe hawana dosari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utakapokwisha kuitakasa, utatoa ng'ombe dume mchanga mkamilifu, na kondoo dume wa kundini mkamilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakapokwisha kuitakasa, utatwaa fahali mdogo asiye na dosari na kondoo dume mmoja asiye na dosari na
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakapokwisha kupaeua, sharti upeleke ndama ya ng'ombe ya kiume asiye na kilema na dume la kondoo asiye na kilema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utakapokwisha kuitakasa, utatoa ng’ombe mume mchanga mkamilifu, na kondoo mume wa kundini mkamilifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakapokwisha kuitakasa, utatwaa ngombe dume mudogo asiyekuwa na kilema na kondoo dume mumoja asiyekuwa na kilema na