Ezekiel 43:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo kwa muda wa siku saba, utafanya upatanisho na kuitakasa, na hivyo kuiweka wakfu madhabahu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku saba itawapasa kufanya upatanisho kwa ajili ya madhabahu na kuitakasa; hivyo ndivyo watakavyoiweka wakfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa muda wa siku saba wataifanyia madhabahu upatanisho, na kuitakasa; ndivyo watakavyoiweka wakfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo kwa muda wa siku saba, utafanya upatanisho na kuitakasa, na hivyo kuiweka wakfu madhabahu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku saba itawapasa kufanya upatanisho kwa ajili ya madhabahu na kuitakasa na hivyo ndivyo watakavyoiweka wakfu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku saba itawapasa kufanya upatanisho kwa ajili ya madhabahu na kuitakasa na hivyo ndivyo watakavyoiweka wakfu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa muda wa siku saba wataifanyia madhabahu upatanisho, na kuitakasa; ndivyo watakavyoiweka wakfu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo kwa muda wa siku saba, utafanya upatanisho na kuitakasa, na hivyo kuiweka wakfu madhabahu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti siku saba wapapoze hapo pa kutambikia na kupaeua hivyo. Ndivyo, watakavyopatakasa, pawe patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa muda wa siku saba wataifanyia madhabahu upatanisho, na kuitakasa; ndivyo watakavyoiweka wakfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo kwa muda wa siku saba, utafanya upatanisho na kuisafisha, na hivyo utatakasa mazabahu.