Ezekiel 43:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nao utukufu wa Mwenyezi-Mungu uliingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa njia ya lango la mashariki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utukufu wa Mwenyezi Mungu ukaingia hekaluni kupitia lango linaloelekea upande wa mashariki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na huo utukufu wa Bwana ukaingia ndani ya nyumba, kwa njia ya lango lile lielekealo upande wa mashariki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nao utukufu wa Mwenyezi-Mungu uliingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa njia ya lango la mashariki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utukufu wa BWANA ukaingia hekaluni kwa kupitia lango linaloelekea upande wa mashariki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utukufu wa bwana ukaingia hekaluni kwa kupitia lango linaloelekea upande wa mashariki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na huo utukufu wa BWANA ukaingia ndani ya nyumba, kwa njia ya lango lile lielekealo upande wa mashariki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nao utukufu wa Mwenyezi-Mungu uliingia katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu kwa njia ya lango la mashariki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao utukufu wa Bwana ukaja kuingia humo Nyumbani katika njia ya lango lililoielekea hiyo njia ya maawioni kwa jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na huo utukufu wa BWANA ukaingia ndani ya nyumba, kwa njia ya lango lile lielekealo upande wa mashariki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nao utukufu wa Yawe uliingia katika nyumba ya Yawe kwa njia ya mulango wa mashariki.