Ezekiel 43:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtu akiwa anasimama karibu nami, nilisikia mtu fulani akisema kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mtu akiwa amesimama kando yangu, nilisikia mtu mmoja akisema nami kutoka ndani ya Hekalu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasikia sauti ya mmoja asemaye nami, itokayo katika nyumba hiyo; na mtu akasimama karibu nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtu akiwa anasimama karibu nami, nilisikia mtu fulani akisema kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati yule mtu akiwa amesimama kando yangu, nilisikia mtu mmoja akisema nami kutoka ndani ya Hekalu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati yule mtu akiwa amesimama kando yangu, nilisikia mtu mmoja akisema nami kutoka ndani ya Hekalu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasikia sauti ya mmoja asemaye nami, itokayo katika nyumba hiyo; na mtu akasimama karibu nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtu akiwa anasimama karibu nami, nilisikia mtu fulani akisema kutoka katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nikasikia aliyesema na mimi toka mle Nyumbani, tena kulikuwako mtu aliyesimama hapo, nilipokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasikia sauti ya mmoja asemaye nami, itokayo katika nyumba hiyo; na mtu akasimama karibu nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutu akiwa anasimama karibu nami, nilisikia mutu fulani akisema nami kutoka katika nyumba ya Yawe;