Ezekiel 43:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa na waache kuziabudu sanamu na waziondoe maiti za wafalme wao mbali nami, nami nitakaa miongoni mwao milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi sasa na waweke mbali nami ukahaba wao na sanamu za wafalme wao zisizo na uhai, nami nitakaa miongoni mwao milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa wayaondoe mambo yao ya kikahaba, na mizoga ya wafalme wao, yawe mbali nami, nami nitakaa kati yao milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa na waache kuziabudu sanamu na waziondoe maiti za wafalme wao mbali nami, nami nitakaa miongoni mwao milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi sasa na waweke mbali nami ukahaba wao na sanamu za wafalme wao zisizo na uhai, nami nitakaa miongoni mwao milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi sasa na waweke mbali nami ukahaba wao na sanamu za wafalme wao zisizo na uhai, nami nitakaa miongoni mwao milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa wayaondoe mambo yao ya kikahaba, na mizoga ya wafalme wao, yawe mbali nami, nami nitakaa kati yao milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa na waache kuziabudu sanamu na waziondoe maiti za wafalme wao mbali nami, nami nitakaa miongoni mwao milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa ugoni wao watauondoa pangu pamoja na mizoga ya wafalme wao, nipate kukaa katikati yao kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa wayaondoe mambo yao ya kikahaba, na mizoga ya wafalme wao, yawe mbali nami, nami nitakaa kati yao milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa waache kuziabudu sanamu na waziondoe maiti za wafalme wao mbali nami, nami nitakaa kati yao milele.