Ezekiel 44:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Walawi walioniacha wakati ule Waisraeli walipojitenga nami kwa kufuata miungu yao, watabeba adhabu yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Walawi walioniacha wakati Waisraeli walipopotoka wakatoka kwangu na kutangatanga kwa kufuata sanamu zao, sharti watachukua adhabu ya dhambi zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Walawi waliofarakana nami, hapo Waisraeli walipopotea, waliopotea na kuvifuata vinyago vyao, watachukua uovu wao wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Walawi walioniacha wakati ule Waisraeli walipojitenga nami kwa kufuata miungu yao, watabeba adhabu yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Walawi walioniacha wakati Waisraeli walipopotoka wakatoka kwangu na kutangatanga kwa kufuata sanamu zao, watachukua adhabu ya dhambi zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Walawi walioniacha wakati Waisraeli walipopotoka wakatoka kwangu na kutangatanga kwa kufuata sanamu zao, watachukua adhabu ya dhambi zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Walawi waliofarakana nami, wakapotea na kuvifuata vinyago vyao, hapo Waisraeli walipopotea, watachukua uovu wao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Walawi walioniacha wakati ule Waisraeli walipojitenga nami kwa kufuata miungu yao, watabeba adhabu yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ila Walawi walioniacha na kujiendea mbali hapo, Waisiraeli walipopotea, watatwikwa manza zao, walizozikora, ndio wale waliopotea kwa kuniacha wakiyafuata magogo yao ya kutambikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Walawi waliofarakana nami, hapo Waisraeli walipopotea, waliopotea na kuvifuata vinyago vyao, watachukua uovu wao wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walawi walioniacha wakati ule Waisraeli walipojitenga nami kwa kufuata miungu yao, watabeba azabu yao.