Ezekiel 44:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataweza tu kuhudumu katika maskani yangu kama watumishi wakilinda malango ya nyumba yangu, na kutumikia katika nyumba. Wataweza kuchinja wanyama wanaotolewa na watu kwa ajili ya tambiko za kuteketeza na kuwatumikia watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanaweza wakatumika katika mahali patakatifu pangu, wakiwa na uangalizi wa malango ya Hekalu; wanaweza kuchinja wanyama wa sadaka za kuteketezwa, na kutoa dhabihu kwa ajili ya watu, na kusimama mbele ya watu ili kuwahudumia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata hivyo watakuwa wahudumu katika patakatifu pangu, wakiwa wasimamizi wa malango ya nyumba, wakihudumu humo nyumbani; watawachinjia watu sadaka za kuteketezwa na dhabihu, nao watasimama mbele yao ili kuwahudumia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataweza tu kuhudumu katika maskani yangu kama watumishi wakilinda malango ya nyumba yangu, na kutumikia katika nyumba. Wataweza kuchinja wanyama wanaotolewa na watu kwa ajili ya tambiko za kuteketeza na kuwatumikia watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanaweza wakatumika katika mahali patakatifu pangu, wakiwa na uangalizi wa malango ya Hekalu, nao watachinja sadaka za kuteketezwa na dhabihu kwa ajili ya watu na kusimama mbele ya watu ili kuwahudumia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanaweza wakatumika katika mahali patakatifu pangu, wakiwa na uangalizi wa malango ya Hekalu, nao watachinja sadaka za kuteketezwa na dhabihu kwa ajili ya watu na kusimama mbele ya watu ili kuwahudumia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata hivyo watakuwa wahudumu katika patakatifu pangu, wakiwa wasimamizi wa malango ya nyumba, wakihudumu humo nyumbani; watawachinjia watu sadaka za kuteketezwa na dhabihu, nao watasimama mbele yao ili kuwahudumia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataweza tu kuhudumu katika maskani yangu kama watumishi wakilinda malango ya nyumba yangu, na kutumikia katika nyumba. Wataweza kuchinja wanyama wanaotolewa na watu kwa ajili ya tambiko za kuteketeza na kuwatumikia watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao watapatumikia Patakatifu pangu na kuyangoja malango ya Nyumba hii na kuwa watumishi wa humu Nyumbani; ndio watakaozichinja ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima nazo zile nyingine, watu watakazozitoa za tambiko; hapo ndipo, watakaposimama mbele yao, wawatumikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata hivyo watakuwa wahudumu katika patakatifu pangu, wakiwa wasimamizi wa malango ya nyumba, wakihudumu humo nyumbani; watawachinjia watu sadaka za kuteketezwa na dhabihu, nao watasimama mbele yao ili kuwahudumia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wataweza tu kutumika katika hekalu langu kama watumishi wakilinda milango ya nyumba yangu, na kutumikia katika nyumba. Wataweza kuchinja nyama wanaotolewa na watu kwa ajili ya kutolewa sadaka za kuteketeza na kuwatumikia watu.