Ezekiel 44:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawatanikaribia tena kunihudumia kama makuhani, wala hawatavigusa tena vitu vitakatifu wala vile vitakatifu kabisa. Bali wataaibika kwa sababu ya machukizo yao waliyotenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawaruhusiwi kukaribia ili kunitumikia kama makuhani wala kukaribia chochote changu kilicho kitakatifu au sadaka iliyo takatifu kupita zote, bali watachukua aibu ya matendo yao ya kuchukiza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawatanikaribia, kunihudumia katika kazi ya ukuhani, wala hawatakaribia vitu vyangu vitakatifu kimojawapo, vitu vilivyo vitakatifu sana; bali watachukua aibu yao, na machukizo yao yote waliyoyatenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawatanikaribia tena kunihudumia kama makuhani, wala hawatavigusa tena vitu vitakatifu wala vile vitakatifu kabisa. Bali wataaibika kwa sababu ya machukizo yao waliyotenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawaruhusiwi kukaribia ili kunitumikia kama makuhani wala kukaribia cho chote changu kilicho kitakatifu au sadaka iliyo takatifu kupita zote, bali watachukua aibu ya matendo yao ya kuchukiza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawaruhusiwi kukaribia ili kunitumikia kama makuhani wala kukaribia chochote changu kilicho kitakatifu au sadaka iliyo takatifu kupita zote, bali watachukua aibu ya matendo yao ya kuchukiza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawatanikaribia, kunihudumia katika kazi ya ukuhani, wala hawatakaribia vitu vyangu vitakatifu kimojawapo, vitu vilivyo vitakatifu sana; bali watachukua aibu yao, na machukizo yao yote waliyoyatenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawatanikaribia tena kunihudumia kama makuhani, wala hawatavigusa tena vitu vitakatifu wala vile vitakatifu kabisa. Bali wataaibika kwa sababu ya machukizo yao waliyotenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wasinikaribie na kufanya kazi za utambikaji, wala wasivikaribie vitakatifu vyangu vyenyewe; hivyo watashikwa na soni kwa kutwikwa machukizo yao, waliyoyafanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawatanikaribia, kunihudumia katika kazi ya ukuhani, wala hawatakaribia vitu vyangu vitakatifu kimojawapo, vitu vilivyo vitakatifu sana; bali watachukua aibu yao, na machukizo yao yote waliyoyatenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawatakaribia mbele yangu tena kwa kunitumikia kama makuhani, wala hawatavigusa tena vitu vitakatifu wala vile vitakatifu sana. Lakini watapata haya kwa sababu ya machukizo yao waliyotenda.