Ezekiel 44:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao tu ndio watakaoingia katika maskani yangu, nao watakaribia kwenye madhabahu kunitumikia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao peke yao ndio wenye ruhusa ya kuingia mahali patakatifu pangu. Wao peke yao ndio watakaokaribia meza yangu ili kuhudumu mbele zangu na kufanya utumishi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wataingia patakatifu pangu, nao wataikaribia meza yangu, ili kunihudumia, nao watalinda ulinzi wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao tu ndio watakaoingia katika maskani yangu, nao watakaribia kwenye madhabahu kunitumikia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao peke yao ndio wenye ruhusa ya kuingia mahali patakatifu pangu, wao peke yao ndio watakaokaribia meza yangu ili kuhudumu mbele zangu na kufanya utumishi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao peke yao ndio wenye ruhusa ya kuingia mahali patakatifu pangu. Wao peke yao ndio watakaokaribia meza yangu ili kuhudumu mbele zangu na kufanya utumishi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wataingia patakatifu pangu, nao wataikaribia meza yangu, ili kunihudumia, nao watafuata maagizo yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao tu ndio watakaoingia katika maskani yangu, nao watakaribia kwenye madhabahu kunitumikia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao watapaingia Patakatifu pangu, waikaribie meza yangu wakinitumikia kwa kuushika utumishi wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wataingia patakatifu pangu, nao wataikaribia meza yangu, ili kunihudumia, nao watalinda ulinzi wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao tu ndio watakaoingia katika hekalu langu, nao watakaribia kwenye mazabahu kwa kunitumikia.