Ezekiel 44:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watavaa vilemba vya kitani vichwani mwao, na suruali za kitani viunoni mwao; lakini bila mkanda wowote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watavaa vilemba vya kitani safi vichwani mwao na nguo za ndani za kitani safi viunoni mwao. Hawatavaa chochote kitakachowafanya kutoa jasho.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watakuwa na vilemba vya kitani juu ya vichwa vyao, nao watakuwa na suruali za kitani viunoni mwao; hawatajifunga kiunoni kitu cho chote kifanyacho jasho.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watavaa vilemba vya kitani vichwani mwao, na suruali za kitani viunoni mwao; lakini bila mkanda wowote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watavaa vilemba vya kitani safi vichwani mwao na nguo za ndani za kitani safi viunoni mwao. Hawatavaa cho chote kitakachowafanya kutoa jasho.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watavaa vilemba vya kitani safi vichwani mwao na nguo za ndani za kitani safi viunoni mwao. Hawatavaa chochote kitakachowafanya kutoa jasho.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watakuwa na vilemba vya kitani juu ya vichwa vyao, nao watakuwa na suruali za kitani viunoni mwao; hawatajifunga kiunoni kitu kisababishacho jasho.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watavaa vilemba vya kitani vichwani mwao, na suruali za kitani viunoni mwao; lakini bila mkanda wowote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vichwani sharti wavae vilemba vya nguo za pamba, hata viunoni sharti wavae suruali za pamba, wasijifunge nguo zitoazo jasho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watakuwa na vilemba vya kitani juu ya vichwa vyao, nao watakuwa na suruali za kitani viunoni mwao; hawatajifunga kiunoni kitu cho chote kifanyacho jasho.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watavaa vitambaa vya kitani kwenye vichwa vyao, na makapitula za kitani katika viuno vyao; lakini bila mukaba wowote kwa kuepuka jasho.