Ezekiel 44:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Hawatanyoa vichwa vyao wala kuacha nywele zao ziwe ndefu. Lakini watapunguza tu mashungi ya nywele zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hawatanyoa nywele za vichwa vyao wala kuziacha ziwe ndefu, bali watazipunguza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawatanyoa vichwa vyao, wala hawataacha nywele zao kuwa ndefu sana; watazipunguza nywele za vichwa vyao tu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Hawatanyoa vichwa vyao wala kuacha nywele zao ziwe ndefu. Lakini watapunguza tu mashungi ya nywele zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hawatanyoa nywele za vichwa vyao wala kuziacha ziwe ndefu, bali watazipunguza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hawatanyoa nywele za vichwa vyao wala kuziacha ziwe ndefu, bali watazipunguza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawatanyoa vichwa vyao, wala hawataacha nywele zao kuwa ndefu sana; watazipunguza nywele za vichwa vyao tu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Hawatanyoa vichwa vyao wala kuacha nywele zao ziwe ndefu. Lakini watapunguza tu mashungi ya nywele zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vichwa vyao wasivinyoe kabisa, wala wasiache mavunga, yakue kabisa, ila nywele zao za vichwani wazikatekate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawatanyoa vichwa vyao, wala hawataacha nywele zao kuwa ndefu sana; watazipunguza nywele za vichwa vyao tu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawatanyoa vichwa vyao wala kuacha nywele zao zikuwe ndefu. Lakini watapunguza nywele zao.