Ezekiel 44:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kukiwako ugomvi wataamua kadiri ya sheria zangu. Katika sikukuu zote watafuata amri zangu na sheria zangu, na kuzitakasa sabato zangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Katika magombano yoyote, makuhani watatumika kama mahakimu na kuamua hilo jambo kufuatana na sheria zangu. Watazishika sheria zangu na maagizo yangu katika sikukuu zangu zote zilizoamriwa, nao watatakasa Sabato zangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika mashindano watasimama ili kuamua; wataamua sawasawa na hukumu zangu; nao watazishika sheria zangu, na amri zangu, katika sikukuu zangu zote zilizoamriwa; nao watazitakasa sabato zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kukiwako ugomvi wataamua kadiri ya sheria zangu. Katika sikukuu zote watafuata amri zangu na sheria zangu, na kuzitakasa sabato zangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Katika magombano yo yote, makuhani watatumika kama mahakimu na kuamua hilo jambo kufuatana na sheria zangu. Watazishika sheria zangu na maagizo yangu katika sikukuu zangu zote zilizoamriwa, nao watatakasa Sabato zangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Katika magombano yoyote, makuhani watatumika kama mahakimu na kuamua hilo jambo kufuatana na sheria zangu. Watazishika sheria zangu na maagizo yangu katika sikukuu zangu zote zilizoamriwa, nao watatakasa Sabato zangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika mabishano watasimama ili kuamua; wataamua kulingana na hukumu zangu; nao watazishika sheria zangu, na amri zangu, katika sikukuu zangu zote zilizoamriwa; nao watazitakasa sabato zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kukiwako ugomvi wataamua kadiri ya sheria zangu. Katika sikukuu zote watafuata amri zangu na sheria zangu, na kuzitakasa sabato zangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena watu wakigombana, hao ndio wanaopaswa na kuwasimamia na kuwaamua, nao wawaamue kwa mashauri yangu. Sharti wayashike Maonyo yangu na maongozi yangu kwenye mikutano yote ya sikukuu zangu, nazo siku zangu za mapumziko sharti wazitakase!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika mashindano watasimama ili kuamua; wataamua sawasawa na hukumu zangu; nao watazishika sheria zangu, na amri zangu, katika sikukuu zangu zote zilizoamriwa; nao watazitakasa sabato zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kukikuwa magombano wataamua kadiri ya maamuzi yangu. Katika sikukuu zote watafuata sheria zangu na maamuzi yangu, na kuzitakasa Sabato zangu.