Ezekiel 44:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hawatakaribia maiti ili wasijitie unajisi. Lakini wataweza kujitia unajisi kwa kumkaribia baba au mama au mtoto wa kike au wa kiume au dada yao asiyeolewa, aliyekufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Kuhani asijitie unajisi kwa kukaribia maiti; lakini, ikiwa mtu aliyekufa alikuwa baba yake au mama yake, mwana au binti yake, ndugu yake au dada ambaye hakuolewa, basi anaweza kujitia unajisi kwa hao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawatakaribia maiti na kujitia unajisi; ila kwa ajili ya baba, au mama, au mwana, au binti, au ndugu mwanamume, au ndugu mwanamke asiyeolewa bado, waweza kujitia unajisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hawatakaribia maiti ili wasijitie unajisi. Lakini wataweza kujitia unajisi kwa kumkaribia baba au mama au mtoto wa kike au wa kiume au dada yao asiyeolewa, aliyekufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Kuhani asijitie unajisi kwa kukaribia maiti, lakini, kama mtu aliyekufa alikuwa baba yake au mama yake, mwana au binti yake, ndugu yake au dada ambaye hajaolewa, basi aweza kujitia unajisi kwa hao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Kuhani asijitie unajisi kwa kukaribia maiti, lakini, kama mtu aliyekufa alikuwa baba yake au mama yake, mwana au binti yake, ndugu yake au dada ambaye hajaolewa, basi aweza kujitia unajisi kwa hao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hawatakaribia maiti na kujitia unajisi; ila kwa ajili ya baba, au mama, au mtoto wa kiume, au wa kike, au ndugu mwanamume, au ndugu mwanamke asiyeolewa bado, waweza kujitia unajisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hawatakaribia maiti ili wasijitie unajisi. Lakini wataweza kujitia unajisi kwa kumkaribia baba au mama au mtoto wa kike au wa kiume au dada yao asiyeolewa, aliyekufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu aliyekufa wasimkaribie, wasijipatie uchafu! Wajipatie uchafu tu kwa baba na mama na mwana wa kiume na wa kike na kwa ndugu na kwa umbu asiyeolewa bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawatakaribia maiti na kujitia unajisi; ila kwa ajili ya baba, au mama, au mwana, au binti, au ndugu mwanamume, au ndugu mwanamke asiyeolewa bado, waweza kujitia unajisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawatasogelea maiti kusudi wasijichafue. Lakini wataweza kujichafua kwa kusogelea maiti ya baba au mama au mutoto wa kike au wa kiume au dada asiyeolewa.