Ezekiel 44:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Makuhani hawatakuwa na haki ya kumiliki ardhi; haki yao ni kunitumikia mimi. Hamtawapa milki katika nchi ya Israeli, watakachokuwa nacho ni mimi tu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Mimi ndio nitakuwa urithi pekee wa makuhani katika Israeli. Msiwape wao milki, mimi nitakuwa milki yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watakuwa na urithi; mimi ni urithi wao; wala hamtawapa milki iwayo yote katika Israeli; mimi ni milki yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Makuhani hawatakuwa na haki ya kumiliki ardhi; haki yao ni kunitumikia mimi. Hamtawapa milki katika nchi ya Israeli, watakachokuwa nacho ni mimi tu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Mimi nitakuwa ndio urithi pekee walio nao makuhani katika Israeli. Msiwape wao milki, mimi nitakuwa milki yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Mimi nitakuwa ndio urithi pekee walio nao makuhani katika Israeli. Msiwape wao milki, mimi nitakuwa milki yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao hawatakuwa na urithi; mimi ni urithi wao; wala hamtawapa milki iwayo yote katika Israeli; mimi ni milki yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Makuhani hawatakuwa na haki ya kumiliki ardhi; haki yao ni kunitumikia mimi. Hamtawapa milki katika nchi ya Israeli, watakachokuwa nacho ni mimi tu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena fungu litakalowapasa kuwa lao, basi, mimi nitakuwa fungu lao, kwa hiyo msiwape mali zo zote kwao Waisiraeli za kuzishika kuwa zao! Mimi ni mali zao za kuzishika kuwa zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watakuwa na urithi; mimi ni urithi wao; wala hamtawapa milki iwayo yote katika Israeli; mimi ni milki yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makuhani hawatakuwa na haki ya kurizi inchi; haki yao ni kunitumikia mimi. Hamutawapa urizi katika inchi ya Israeli, watakachokuwa nacho ni mimi tu.