Ezekiel 44:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakula sadaka ya nafaka, sadaka ya kuondoa dhambi, na sadaka ya kuondoa hatia. Kila kitu katika Israeli kilichowekwa wakfu kwa Mungu kitakuwa chao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wao watakula sadaka za nafaka, sadaka za dhambi na sadaka za hatia na kila kitu kitakachotolewa kwa Mwenyezi Mungu katika Israeli kitakuwa chao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wataila sadaka ya unga, na sadaka ya dhambi, na sadaka ya hatia, na kila kitu katika Israeli kilichowekwa wakfu kitakuwa chao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakula sadaka ya nafaka, sadaka ya kuondoa dhambi, na sadaka ya kuondoa hatia. Kila kitu katika Israeli kilichowekwa wakfu kwa Mungu kitakuwa chao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wao watakula sadaka za nafaka, sadaka za dhambi na sadaka za hatia na kila kitu kitakachotolewa kwa BWANA kitakuwa chao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wao watakula sadaka za nafaka, sadaka za dhambi na sadaka za hatia na kila kitu kitakachotolewa kwa bwana katika Israeli kitakuwa chao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wataila sadaka ya unga, na sadaka ya dhambi, na sadaka ya hatia, na kila kitu katika Israeli kilichowekwa wakfu kitakuwa chao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakula sadaka ya nafaka, sadaka ya kuondoa dhambi, na sadaka ya kuondoa hatia. Kila kitu katika Israeli kilichowekwa wakfu kwa Mungu kitakuwa chao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vipaji vya tambiko nazo ng'ombe za tambiko za weuo na za upozi wao watazila, navyo vyo vyote vitakavyokuwa mwiko kwao Waisiraeli kuvila vitakuwa mali zao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wataila sadaka ya unga, na sadaka ya dhambi, na sadaka ya hatia, na kila kitu katika Israeli kilichowekwa wakfu kitakuwa chao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakula sadaka ya vyakula, sadaka ya kusamehewa zambi, na sadaka ya malipo ya kosa. Kila kitu katika Israeli kilichotakaswa kwa Mungu kitakuwa chao.