Ezekiel 44:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, mkuu anayetawala anaweza kwenda huko na kula chakula chake kitakatifu mbele yangu. Ni lazima aingie na kutokea lango la chumba cha kuingilia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye aliye mkuu peke yake ndiye anayeweza kukaa penye njia ya hilo lango na kula chakula mbele za Mwenyezi Mungu. Itampasa aingie kwa njia hiyo ya lango la ukumbini na kutokea njia hiyo hiyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mkuu, yeye ndiye atakayeketi ndani yake ale chakula mbele za Bwana; ataingia kwa njia ya ukumbi wa lango, naye atatoka kwa njia iyo hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, mkuu anayetawala anaweza kwenda huko na kula chakula chake kitakatifu mbele yangu. Ni lazima aingie na kutokea lango la chumba cha kuingilia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aliye mkuu peke yake ndiye anayeweza kukaa penye njia ya hilo lango na kula chakula mbele za BWANA. Itampasa aingie kwa njia hiyo ya lango la ukumbini na kutokea njia iyo hiyo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye aliye mkuu peke yake ndiye anayeweza kukaa penye njia ya hilo lango na kula chakula mbele za bwana. Itampasa aingie kwa njia hiyo ya lango la ukumbini na kutokea njia iyo hiyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mkuu, yeye ndiye atakayeketi ndani yake ale chakula mbele za BWANA; ataingia kwa njia ya ukumbi wa lango, naye atatoka kwa njia hiyo hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, mkuu anayetawala anaweza kwenda huko na kula chakula chake kitakatifu mbele yangu. Ni lazima aingie na kutokea lango la chumba cha kuingilia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye atakayekuwa mkuu, yeye mkuu peke yake atakaa humu, ale chakula mbele ya Bwana, ataingia kwa njia ya ukumbi wa hilo jengo la lango, kisha atatoka kwa njia ileile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkuu, yeye ndiye atakayeketi ndani yake ale chakula mbele za BWANA; ataingia kwa njia ya ukumbi wa lango, naye atatoka kwa njia iyo hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, mukubwa anayetawala anaweza kwenda huko na kula chakula chake kitakatifu mbele yangu. Anapaswa kuingia na kutokea kwenye mulango wa chumba cha kuingilia.