Ezekiel 44:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makuhani hawatakula nyama ya mnyama au ndege yeyote aliyekufa mwenyewe au aliyeraruliwa na mnyama wa porini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Makuhani hawaruhusiwi kula chochote, ikiwa ni ndege au mnyama, aliyekutwa amekufa au aliyeraruliwa na wanyama pori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Makuhani hawatakula nyamafu, au iliyoraruliwa, ikiwa ya ndege au ya mnyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makuhani hawatakula nyama ya mnyama au ndege yeyote aliyekufa mwenyewe au aliyeraruliwa na mnyama wa porini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Makuhani hawaruhusiwi kula cho chote, ikiwa ni ndege au mnyama, aliyekutwa akiwa amekufa au aliyeraruliwa na wanyama pori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Makuhani hawaruhusiwi kula chochote, ikiwa ni ndege au mnyama, aliyekutwa akiwa amekufa au aliyeraruliwa na wanyama pori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makuhani hawatakula nyamafu, au iliyoraruliwa, ikiwa ya ndege au ya mnyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makuhani hawatakula nyama ya mnyama au ndege yeyote aliyekufa mwenyewe au aliyeraruliwa na mnyama wa porini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kila nyama aliyekufa kibudu au aliyeraruliwa na nyama mwingine, watambikaji wasile, kama ni ya ndege au ya nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Makuhani hawatakula nyamafu, au iliyoraruliwa, ikiwa ya ndege au ya mnyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makuhani hawatakula nyamafu au ndege yeyote aliyekufa mwenyewe au aliyeraruliwa na nyama wa pori.