Ezekiel 44:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utawaambia hao watu waasi wa Israeli, Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Siwezi kuendelea kuyavumilia machukizo yenu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Iambie nyumba ya uasi ya Israeli, ‘Hili ndilo asemalo Bwana Mungu Mwenyezi: Matendo yenu ya machukizo yatosha, ee nyumba ya Israeli!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utawaambia waasi, yaani nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Enyi nyumba ya Israeli, katika machukizo yenu yote, na iwatoshe,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utawaambia hao watu waasi wa Israeli, Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Siwezi kuendelea kuyavumilia machukizo yenu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Iambie nyumba ya kuasi ya Israeli, ‘Hili ndilo BWANA Mwenyezi asemalo: Matendo yenu ya machukizo yatosha, Ee nyumba ya Israeli!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Iambie nyumba ya kuasi ya Israeli, ‘Hili ndilo bwana Mwenyezi asemalo: Matendo yenu ya machukizo yatosha, ee nyumba ya Israeli!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utawaambia waasi, yaani nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Enyi nyumba ya Israeli, machukizo yenu yote, na yakome,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utawaambia hao watu waasi wa Israeli, Bwana Mwenyezi-Mungu asema hivi: Siwezi kuendelea kuyavumilia machukizo yenu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walio mlango wa Isiraeli ulio mkatavu waambie: Hivi ndivyo, Bwana Mungu anavyosema: Ninyi mlio mlango wa Isiraeli, yaacheni machukizo yenu yote, mliyoyafanya! Kwani ni mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utawaambia waasi, yaani nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi; Enyi nyumba ya Israeli, katika machukizo yenu yote, na iwatoshe,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utawaambia hao watu waasi wa Israeli hivi: Bwana wetu Yawe anasema hivi: Siwezi kuendelea kuyavumilia machukizo yenu yote.