Ezekiel 44:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Badala ya kutekeleza huduma ya vitu vyangu vitakatifu, mmeruhusu watu wa mataifa mengine kutekeleza huduma hiyo katika maskani yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Badala ya kutimiza wajibu wenu kuhusiana na vitu vyangu vitakatifu, mmeweka watu wengine kuwa viongozi katika patakatifu pangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hamkuvilinda vitu vyangu vitakatifu bali mmejiwekea walinzi wa kawaida zangu, katika patakatifu pangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Badala ya kutekeleza huduma ya vitu vyangu vitakatifu, mmeruhusu watu wa mataifa mengine kutekeleza huduma hiyo katika maskani yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Badala ya kutimiza wajibu wenu kuhusiana na vitu vyangu vitakatifu, mmeweka watu wengine kuwa viongozi katika patakatifu pangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Badala ya kutimiza wajibu wenu kuhusiana na vitu vyangu vitakatifu, mmeweka watu wengine kuwa viongozi katika patakatifu pangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala hamkuvilinda vitu vyangu vitakatifu bali mmejiwekea walinzi wa maagizo yangu, katika patakatifu pangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Badala ya kutekeleza huduma ya vitu vyangu vitakatifu, mmeruhusu watu wa mataifa mengine kutekeleza huduma hiyo katika maskani yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wenyewe hamkutumika na kuushika utumishi wa vitakatifu vyangu, mkawaweka wao kuwa mahali penu watumishi wa kutumikia Patakatifu pangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hamkuvilinda vitu vyangu vitakatifu bali mmejiwekea walinzi wa kawaida zangu, katika patakatifu pangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha kutimiza kazi ya vitu vyangu vitakatifu, mumeruhusu watu wa mataifa mengine kutimiza kazi hiyo katika hekalu langu.