Ezekiel 45:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mtu ni lazima atumie mizani na vipimo halali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa na bathi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mtu ni lazima atumie mizani na vipimo halali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa na bathi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumieni mizani sahihi na vipimo sahihi vya efa na bathi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mtu ni lazima atumie mizani na vipimo halali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti mtumie mizani zilizo sawa na pishi zilizo sawa na vipimo vilivyo sawa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtakuwa na mizani ya haki, na efa ya haki, na bathi ya haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mutu anapaswa kutumia mizani na vipimo vya haki.