Ezekiel 45:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa kupimia uzani: Gera 20 ni shekeli moja, shekeli 50 ni mina moja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shekeli moja itakuwa gera ishirini. Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo shekeli itakuwa gera ishirini; shekeli tano zitakuwa shekeli tano, shekeli kumi zitakuwa kumi, na shekeli hamsini zitakuwa mane yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa kupimia uzani: gera 20 ni shekeli moja, shekeli 50 ni mina moja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shekeli moja itakuwa gera ishirini. Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shekeli moja itakuwa gera ishirini. Shekeli ishirini, jumlisha na shekeli ishirini na tano, jumlisha na shekeli kumi na tano zitakuwa mina moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo shekeli itakuwa gera ishirini; shekeli tano zitakuwa shekeli tano, shekeli kumi zitakuwa kumi, na shekeli hamsini zitakuwa mane yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa kupimia uzani: Gera 20 ni shekeli moja, shekeli 50 ni mina moja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena fedha (sekeli) moja iwe thumuni nane, fedha 20 na fedha 25 na tena fedha 15 pamoja zitakuwa mane moja, ndio shilingi 240.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo shekeli itakuwa gera ishirini; shekeli tano zitakuwa shekeli tano, shekeli kumi zitakuwa kumi, na shekeli hamsini zitakuwa mane yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kupima uzito: gera makumi mbili ni shekeli moja, shekeli makumi tano ni mina moja.