Ezekiel 45:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Vipimo vya matoleo yenu ya nafaka vitakuwa hivi: Moja ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, na moja ya sita ya efa katika homeri moja ya shayiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: sehemu ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano, na sehemu ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Toleo mtakalotoa ni hili; sehemu ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, nanyi mtatoa sehemu ya sita ya efa katika homeri ya shayiri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Vipimo vya matoleo yenu ya nafaka vitakuwa hivi: moja ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, na moja ya sita ya efa katika homeri moja ya shayiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano na moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Hili ndilo toleo maalum mtakalotoa: moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya ngano na moja ya sita ya efa kutoka kila homeri ya shayiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Toleo mtakalotoa ni hili; sehemu ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, nanyi mtatoa sehemu ya sita ya efa katika homeri ya shayiri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Vipimo vya matoleo yenu ya nafaka vitakuwa hivi: Moja ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, na moja ya sita ya efa katika homeri moja ya shayiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo vipaji vyangu vinavyowapasa kuvitoa: nusu kibaba kwa kila frasila ya ngano, vilevile nusu kibaba kwa kila frasila ya mawele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Toleo mtakalotoa ni hili; sehemu ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, nanyi mtatoa sehemu ya sita ya efa katika homeri ya shayiri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vipimo vya matoleo yenu ya vyakula vitakuwa hivi: sehemu moja ya sita ya efa katika homeri moja ya ngano, na moja ya sita ya efa katika homeri moja ya shayiri.