Ezekiel 45:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kiwango cha mafuta kitakuwa hivi: Moja ya bathi ya mafuta kutoka kila kori (kori moja ni sawa na homeri moja ambayo ni sawa na bathi kumi).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sehemu ya mafuta iliyoamriwa, yaliyopimwa kwa bathi, ni sehemu ya kumi ya bathi kutoka kila kori moja (ambayo ina bathi kumi au homeri moja, kwa kuwa bathi kumi ni homeri moja).
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na sehemu ya mafuta iliyoamriwa, katika bathi ya mafuta, itakuwa sehemu ya kumi ya bathi katika kori moja, ambayo ni bathi kumi, yaani homeri; maana bathi kumi ni homeri moja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kiwango cha mafuta kitakuwa hivi: moja ya bathi ya mafuta kutoka kila kori (kori moja ni sawa na homeri moja ambayo ni sawa na bathi kumi).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sehemu ya mafuta iliyoamriwa, yaliyopimwa kwa bathi, ni sehemu ya kumi ya bathi kutoka kila kori moja (ambayo ina bathi kumi au homeri moja.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sehemu ya mafuta iliyoamriwa, yaliyopimwa kwa bathi, ni sehemu ya kumi ya bathi kutoka kila kori moja (ambayo ina bathi kumi au homeri moja.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na sehemu ya mafuta iliyoamriwa, katika bathi ya mafuta, itakuwa sehemu ya kumi ya bathi katika kori moja, ambayo ni bathi kumi, yaani homeri; maana bathi kumi ni homeri moja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kiwango cha mafuta kitakuwa hivi: Moja ya bathi ya mafuta kutoka kila kori (kori moja ni sawa na homeri moja ambayo ni sawa na bathi kumi).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mafuta, mtakayoyatoa, ni haya: kwa kila frasila mbili za mafuta ni nusu kibaba, vibaba vinne vikihesabiwa kuwa fungu la sita la frasila, kwani pishi sita ni frasila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na sehemu ya mafuta iliyoamriwa, katika bathi ya mafuta, itakuwa sehemu ya kumi ya bathi katika kori moja, ambayo ni bathi kumi, yaani homeri; maana bathi kumi ni homeri moja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiwango cha mafuta kitakuwa hivi: sehemu moja ya bati ya mafuta kutoka kila kori (kori moja ni sawa na homeri moja ambayo ni sawa na bati kumi).