Ezekiel 45:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wote wa nchi wataungana pamoja katika kutoa sadaka hii maalum ya kutumiwa na mkuu anayetawala Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wote wa nchi watatoa toleo hili kwa ajili ya mkuu katika Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wote wa nchi wataungana pamoja na mkuu anayetawala Israeli ili kutoa hii sadaka maalum.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wote wa nchi wataungana pamoja katika kutoa sadaka hii maalum ya kutumiwa na mkuu anayetawala Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wote wa nchi watatoa toleo hili kwa ajili ya mkuu katika Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote nchini watampa sadaka hizo mtawala wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wote pia wa nchi hii wanapaswa na kuvitoa vipaji hivi vya kumpa aliye mkuu kwa Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wote wa nchi watatoa toleo hili kwa ajili ya mkuu katika Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote wa inchi watamupatia mufalme wa Waisraeli sadaka hizo.