Ezekiel 45:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya kuondoa dhambi na kuipaka miimo ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kona za madhabahu, na miimo ya nafasi ya kuingilia kwenye ua wa ndani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuhani itampasa achukue sehemu ya hiyo damu ya sadaka ya dhambi na kuipaka kwenye miimo ya Hekalu, kwenye pembe nne za juu za ukingo wa hayo madhabahu na juu ya miimo ya lango la ukumbi wa ndani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya dhambi, na kuitia juu ya miimo ya milango ya nyumba, na juu ya pembe nne za daraja ya madhabahu, na juu ya miimo ya lango la ua wa ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya kuondoa dhambi na kuipaka miimo ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kona za madhabahu, na miimo ya nafasi ya kuingilia kwenye ua wa ndani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuhani itampasa achukue sehemu ya hiyo damu ya sadaka ya dhambi na kuipaka kwenye miimo ya Hekalu, kwenye pembe nne za juu za ukingo wa hiyo madhabahu na juu ya miimo ya lango la ukumbi wa ndani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuhani itampasa achukue sehemu ya hiyo damu ya sadaka ya dhambi na kuipaka kwenye miimo ya Hekalu, kwenye pembe nne za juu za ukingo wa hayo madhabahu na juu ya miimo ya lango la ukumbi wa ndani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya dhambi, na kuitia juu ya miimo ya milango ya nyumba, na juu ya pembe nne za daraja ya madhabahu, na juu ya miimo ya lango la ua wa ndani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya kuondoa dhambi na kuipaka miimo ya nyumba ya Mwenyezi-Mungu, kona za madhabahu, na miimo ya nafasi ya kuingilia kwenye ua wa ndani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji achukue damu yake hiyo ng'ombe ya weuo, aipake mihimili ya Nyumba hii nazo pembe nne za daraja la hapo pa kutambikia, hata mihimili ya lango la ua wa ndani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na kuhani atatwaa baadhi ya damu ya sadaka ya dhambi, na kuitia juu ya miimo ya milango ya nyumba, na juu ya pembe nne za daraja ya madhabahu, na juu ya miimo ya lango la ua wa ndani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuhani atatwaa sehemu ya damu ya sadaka ya kusamehewa zambi na kuipaka kwenye miimo ya nyumba ya Yawe, pembe za mazabahu, na miimo ya nafasi ya kuingilia kwenye kiwanja cha ndani.