Ezekiel 45:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndani yake kutakuwa na eneo mraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande mita 250, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa mita 250.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika eneo hilo patakuwa na sehemu mraba ambayo ni ya mahali patakatifu; kila upande utakuwa dhiraa mia tano, ikiwa imezungukwa na eneo la wazi lenye upana wa dhiraa hamsini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika hiyo itakuwako sehemu kwa mahali patakatifu, urefu wake mia tano, na upana wake mia tano, mraba pande zote; na dhiraa ishirini kwa viunga vyake pande zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndani yake kutakuwa na eneo mraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande mita 250, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa mita 250.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika hiyo, itakuwepo sehemu mraba ambayo ni mahali patakatifu kila upande dhiraa 500 ikiwa imezungukwa na eneo la wazi lenye upana wa dhiraa hamsini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika hiyo, itakuwepo sehemu mraba ambayo ni mahali patakatifu kila upande dhiraa 500 ikiwa imezungukwa na eneo la wazi lenye upana wa dhiraa hamsini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika hiyo itakuwako sehemu kwa mahali patakatifu, urefu wake mia tano, na upana wake mia tano, mraba pande zote; na dhiraa ishirini kwa viunga vyake pande zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndani yake kutakuwa na eneo mraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande mita 250, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa mita 250.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndani yake pakatwe mahali penye mianzi 500 pande zake nne zipazungukazo kuwa pake Patakatifu Penyewe; mahali hapo pazungukwe pande zote na uwanda wa mikono 50.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika hiyo itakuwako sehemu kwa mahali patakatifu, urefu wake mia tano, na upana wake mia tano, mraba pande zote; na dhiraa ishirini kwa viunga vyake pande zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndani yake kutakuwa eneo muraba kwa ajili ya patakatifu, kila upande metre mia mbili makumi tano, na litazungukwa na eneo wazi lenye upana wa metre mia mbili makumi tano.