Ezekiel 45:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, mtaadhimisha sikukuu ya Pasaka. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Katika mwezi wa kwanza siku ya kumi na nne utaadhimisha Pasaka. Sikukuu itaendelea kwa siku saba, wakati huo wa hizo siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, mtakuwa na Pasaka, sikukuu ya siku saba; mkate usiotiwa chachu utaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, mtaadhimisha sikukuu ya Pasaka. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Katika mwezi wa kwanza siku ya kumi na nne utaadhimisha Pasaka. Sikukuu itaendelea kwa siku saba, wakati huo wa hizo siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Katika mwezi wa kwanza siku ya kumi na nne utaadhimisha Pasaka. Sikukuu itaendelea kwa siku saba, wakati huo wa hizo siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, mtakuwa na Pasaka, sikukuu ya siku saba; mkate usiotiwa chachu utaliwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza, mtaadhimisha sikukuu ya Pasaka. Kwa muda wa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika mwezi wa kwanza siku ya kumi na nne sharti mfanye Pasaka, ndiyo sikukuu ya siku saba, inapoliwa mikate isiyotiwa chachu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwezi wa kwanza, siku ya kumi na nne ya mwezi, mtakuwa na Pasaka, sikukuu ya siku saba; mkate usiotiwa chachu utaliwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ya kumi na ine ya mwezi wa kwanza, mutafanya sikukuu ya Pasaka. Kwa muda wa siku saba, mutakula mikate isiyotiwa chachu.