Ezekiel 45:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha atatengeneza sadaka ya unga kilo 10 kwa kila fahali na kilo 10 kwa kila kondoo dume, halafu lita 3 za mafuta kwa kila kilo 10 za unga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia atatoa sadaka ya nafaka efa moja kwa kila fahali, na efa moja kwa kila kondoo dume, pamoja na hini moja ya mafuta kwa kila efa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atatengeneza sadaka ya unga, efa moja kwa ng'ombe, na efa moja kwa kondoo mume, na hini moja ya mafuta kwa efa moja;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha atatengeneza sadaka ya unga kilo 10 kwa kila fahali na kilo 10 kwa kila kondoo dume, halafu lita 3 za mafuta kwa kila kilo 10 za unga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia atatoa sadaka ya nafaka efa moja kwa kila fahali na efa moja kwa kila kondoo dume, pamoja na hini moja ya mafuta kwa kila efa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia atatoa sadaka ya nafaka efa moja kwa kila fahali na efa moja kwa kila kondoo dume, pamoja na hini moja ya mafuta kwa kila efa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atatengeneza sadaka ya unga, efa moja kwa ng'ombe, na efa moja kwa kondoo dume, na hini moja ya mafuta kwa efa moja;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha atatengeneza sadaka ya unga kilo 10 kwa kila fahali na kilo 10 kwa kila kondoo dume, halafu lita 3 za mafuta kwa kila kilo 10 za unga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena sharti atolee kila ndama frasila moja ya unga kuwa kilaji cha tambiko, hata kila dume la kondoo vilevile, pamoja na pishi moja na nusu ya mafuta kwa kila frasila ya unga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atatengeneza sadaka ya unga, efa moja kwa ng’ombe, na efa moja kwa kondoo mume, na hini moja ya mafuta kwa efa moja;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha atatengeneza sadaka ya unga kilo kumi kwa kila ngombe dume na kilo kumi kwa kila kondoo dume, halafu litre tatu za mafuta kwa kila kilo kumi za unga.