Ezekiel 45:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Eneo lingine lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita tano, litatengwa kwa ajili ya miji ya Walawi wanaohudumu hekaluni liwe milki yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Eneo la urefu wa dhiraa elfu ishirini na tano, na upana wa dhiraa elfu kumi litakuwa la Walawi, wanaohudumu hekaluni, kama milki yao kwa ajili ya miji ya kuishi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena urefu wa ishirini na tano elfu, na upana wa elfu kumi, ni sehemu ya Walawi, wahudumu wa nyumba, iwe milki yao wenyewe kwa vyumba ishirini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Eneo lingine lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita tano, litatengwa kwa ajili ya miji ya Walawi wanaohudumu hekaluni liwe milki yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Eneo la urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000 litakuwa la Walawi wale wanaotumika hekaluni, kama milki yao kwa ajili ya miji ya kuishi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Eneo la urefu wa dhiraa 25,000 na upana wa dhiraa 10,000 litakuwa la Walawi wale wanaotumika hekaluni, kama milki yao kwa ajili ya miji ya kuishi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena urefu wa elfu ishirini na tano, na upana wa elfu kumi, ni sehemu ya Walawi, wahudumu wa nyumba, iwe milki yao wenyewe kwa vyumba ishirini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Eneo lingine lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita tano, litatengwa kwa ajili ya miji ya Walawi wanaohudumu hekaluni liwe milki yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pengine penye urefu wa mianzi 25000 na upana wa mianzi 10000 patakuwa pao Walawi wanaofanya kazi za utumishi wa Nyumba hii; hapo patakuwa mali zao za kupashika kuwa pao pa kukaa penye matuo 20.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena urefu wa ishirini na tano elfu, na upana wa elfu kumi, ni sehemu ya Walawi, wahudumu wa nyumba, iwe milki yao wenyewe kwa vyumba ishirini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Eneo lingine lenye urefu wa kilometre kumi na mbili na nusu kwa kilometre tano, litatengwa kwa ajili ya miji ya Walawi wanaotumika katika hekalu likuwe urizi wao.