Ezekiel 45:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mtapima eneo la mji karibu na eneo takatifu, lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita mbili u nusu. Hilo litakuwa kwa ajili ya mtu yeyote wa Israeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“ ‘Utatoa mji kama mali yao, wenye upana wa dhiraa elfu tano, na urefu wa dhiraa elfu ishirini na tano karibu na sehemu takatifu; itakuwa mali ya nyumba yote ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtaiandika milki ya mji, upana wake elfu tano, na urefu wake ishirini na tano elfu, kandokando ya mahali palipotolewa, iwe sehemu takatifu; nayo itakuwa ya nyumba yote ya Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mtapima eneo la mji karibu na eneo takatifu, lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita mbili u nusu. Hilo litakuwa kwa ajili ya mtu yeyote wa Israeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“ ‘Utatoa mji kama mali yao wenye upana wa dhiraa 5,000 na urefu wa dhiraa 25,000, karibu na sehemu takatifu, itakuwa mali ya nyumba yote ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ ‘Utatoa mji kama mali yao wenye upana wa dhiraa 5,000 na urefu wa dhiraa 25,000, karibu na sehemu takatifu, itakuwa mali ya nyumba yote ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtaiandika milki ya mji, upana wake elfu tano, na urefu wake elfu ishirini na tano, kandokando ya mahali palipotolewa, iwe sehemu takatifu; nayo itakuwa ya nyumba yote ya Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mtapima eneo la mji karibu na eneo takatifu, lenye urefu wa kilomita kumi na mbili u nusu kwa kilomita mbili u nusu. Hilo litakuwa kwa ajili ya mtu yeyote wa Israeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mtatoa tena mahali penye upana wa mianzi 5000 na urefu wa mianzi 25000 kuwa pake mji, pawe kandokando ya kile kipande kitakatifu cha nchi; hapo patakuwa mali zao wote walio mlango wa Isiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtaiandika milki ya mji, upana wake elfu tano, na urefu wake ishirini na tano elfu, kandokando ya mahali palipotolewa, iwe sehemu takatifu; nayo itakuwa ya nyumba yote ya Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutapima eneo la muji karibu na eneo takatifu, lenye urefu wa kilometre kumi na mbili na nusu kwa kilometre mbili na nusu. Hilo litakuwa kwa ajili ya mutu yeyote wa Israeli.