Ezekiel 46:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawala ataingia ndani watu wanapoingia, na atatoka wanapotoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkuu anayetawala atakuwa miongoni mwao, akiingia nao ndani wanapoingia, na akitoka nao nje wanapotoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mkuu atakapoingia, ataingia katikati yao, nao, watakapotoka, watatoka wote pamoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawala ataingia ndani watu wanapoingia, na atatoka wanapotoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkuu anayetawala atakuwa miongoni mwao, akiingia nao ndani wanapoingia, naye atatoka nao nje wanapotoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkuu anayetawala atakuwa miongoni mwao, akiingia nao ndani wanapoingia, naye atatoka nao nje wanapotoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mkuu atakapoingia, ataingia katikati yao, nao, watakapotoka, watatoka wote pamoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawala ataingia ndani watu wanapoingia, na atatoka wanapotoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mkuu ataingia pamoja nao, wakiingia, kisha atatoka, nao wakitoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mkuu atakapoingia, ataingia katikati yao, nao, watakapotoka, watatoka wote pamoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme ataingia ndani watu wanapoingia, na atatoka wanapotoka.