Ezekiel 46:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini ikiwa atampa mmoja wa watumishi wake sehemu yoyote ya ardhi yake, zawadi hiyo itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuachwa huru. Ndipo itakapomrudia mtawala. Ni yeye tu na watoto wake wa kiume wanaoweza kuimiliki daima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, kama atatoa zawadi kutoka urithi wake na kumpa mmoja wa watumishi wake, mtumishi anaweza kuiweka hadi mwaka wa uhuru, kisha itarudishwa kwa mkuu anayetawala. Urithi wake ni wa wanawe peke yao, ni mali yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali akimpa mmoja wa watumishi wake baadhi ya urithi wake, itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuacha huru; ndipo itakapomrudia mkuu; lakini urithi wake, huo utakuwa wa wanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini ikiwa atampa mmoja wa watumishi wake sehemu yoyote ya ardhi yake, zawadi hiyo itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuachwa huru. Ndipo itakapomrudia mtawala. Ni yeye tu na watoto wake wa kiume wanaoweza kuimiliki daima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, kama atatoa zawadi kutoka katika urithi wake na kumpa mmoja wa watumishi wake, mtumishi anaweza kuiweka mpaka mwaka wa uhuru, kisha itarudishwa kwa mkuu anayetawala. Urithi wake ni wa wanawe peke yao, ni mali yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, kama atatoa zawadi kutoka urithi wake na kumpa mmoja wa watumishi wake, mtumishi anaweza kuiweka mpaka mwaka wa uhuru, kisha itarudishwa kwa mkuu anayetawala. Urithi wake ni wa wanawe peke yao, ni mali yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali akimpa mmoja wa watumishi wake baadhi ya urithi wake, itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuacha huru; ndipo itakapomrudia mkuu; lakini urithi wake, huo utakuwa wa wanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini ikiwa atampa mmoja wa watumishi wake sehemu yoyote ya ardhi yake, zawadi hiyo itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuachwa huru. Ndipo itakapomrudia mtawala. Ni yeye tu na watoto wake wa kiume wanaoweza kuimiliki daima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kama anampa mmoja wao watumishi wake fungu la nchi yake, aliyoipata, litakuwa lake mpaka mwaka mkuu wa ukombozi; ndipo, litakaporudi kwake mkuu; ni wanawe tu watakaokaa na fungu lake, liwe lao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali akimpa mmoja wa watumishi wake baadhi ya urithi wake, itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuacha huru; ndipo itakapomrudia mkuu; lakini urithi wake, huo utakuwa wa wanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ikiwa atamupa mumoja kati ya watumishi wake sehemu yoyote ya inchi yake, zawadi hiyo itakuwa mali yake mpaka mwaka wa kuachwa huru. Kwa hiyo ndipo itamurudilia tena mufalme. Ni yeye tu na watoto wake wa kiume wanaoweza kuirizi kwa siku zote.