Ezekiel 46:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila siku ya sabato na sikukuu ya mwezi mwandamo, watu wote wataniabudu mimi Mwenyezi-Mungu mbele ya lango.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku za Sabato na za Mwezi Mwandamo watu wote wa nchi wataabudu mbele za Mwenyezi Mungu penye lile ingilio la ile njia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa nchi nao wataabudu mbele ya mlango wa lile lango mbele za Bwana, siku za sabato, na siku za mwezi mpya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila siku ya sabato na sikukuu ya mwezi mwandamo, watu wote wataniabudu mimi Mwenyezi-Mungu mbele ya lango.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku za Sabato na za Mwezi mwandamo watu wote wa nchi wataabudu mbele za BWANA penye lile ingilio la ile njia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku za Sabato na za Mwezi mwandamo watu wote wa nchi wataabudu mbele za bwana penye lile ingilio la ile njia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa nchi nao wataabudu mbele ya mlango wa lile lango mbele za BWANA, siku za sabato, na siku za mwezi mwandamo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila siku ya sabato na sikukuu ya mwezi mwandamo, watu wote wataniabudu mimi Mwenyezi-Mungu mbele ya lango.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wa nchi hii wamwangukie Bwana hapo pa kuliingilia hilo lango siku za mapumziko na za miandamo ya mwezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa nchi nao wataabudu mbele ya mlango wa lile lango mbele za BWANA, siku za sabato, na siku za mwezi mpya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila siku ya Sabato na sikukuu ya mwandamo wa mwezi, watu wote wataniabudu mimi Yawe mbele ya mulango.