Ezekiel 46:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pamoja na kila kondoo dume, ataleta sadaka ya unga lita kumi na saba na nusu, lakini pamoja na kila mwanakondoo ataleta sadaka yoyote anayoweza. Na kwa kila sadaka ya unga, ataleta lita tatu za mafuta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sadaka ya nafaka inayotolewa pamoja na huyo kondoo dume itakuwa efa moja, na sadaka ya nafaka inayotolewa na hao wana-kondoo itakuwa kiasi apendacho mtu pamoja na hini ya mafuta kwa kila efa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sadaka ya unga itakuwa efa moja kwa kondoo mume, na sadaka ya unga kwa wale wana-kondoo, kiasi awezacho kutoa, na hini moja ya mafuta kwa efa moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pamoja na kila kondoo dume, ataleta sadaka ya unga lita kumi na saba na nusu, lakini pamoja na kila mwanakondoo ataleta sadaka yoyote anayoweza. Na kwa kila sadaka ya unga, ataleta lita tatu za mafuta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sadaka ya nafaka inayotolewa pamoja na huyo kondoo dume itakuwa efa moja na sadaka ya nafaka inayotolewa na hao wana-kondoo itakuwa kiasi apendacho mtu pamoja na hini ya mafuta kwa kila efa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sadaka ya nafaka inayotolewa pamoja na huyo kondoo dume itakuwa efa moja na sadaka ya nafaka inayotolewa na hao wana-kondoo itakuwa kiasi apendacho mtu pamoja na hini ya mafuta kwa kila efa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sadaka ya unga itakuwa efa moja kwa kondoo dume, na sadaka ya unga kwa wale wana-kondoo, kiasi awezacho kutoa, na hini moja ya mafuta kwa efa moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pamoja na kila kondoo dume, ataleta sadaka ya unga lita kumi na saba na nusu, lakini pamoja na kila mwanakondoo ataleta sadaka yoyote anayoweza. Na kwa kila sadaka ya unga, ataleta lita tatu za mafuta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kilaji cha tambiko kiwe frasila moja ya unga kwa yule dume, lakini kwa wana kondoo kiwe, kama mkono wake utakavyotoa, tena pishi moja na nusu ya mafuta kwa kila frasila moja ya unga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sadaka ya unga itakuwa efa moja kwa kondoo mume, na sadaka ya unga kwa wale wana-kondoo, kiasi awezacho kutoa, na hini moja ya mafuta kwa efa moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pamoja na kila kondoo dume, ataleta sadaka ya unga litre kumi na saba na nusu, lakini pamoja na kila mwana-kondoo ataleta sadaka yoyote anayoweza. Na kwa kila sadaka ya unga, ataleta litre tatu za mafuta.