Ezekiel 46:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati wa sikukuu ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wanakondoo sita, na kondoo dume mmoja; wote wasio na dosari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ya Mwezi Mwandamo atatoa fahali mchanga, wana-kondoo sita na kondoo dume, wote wasiwe na dosari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na siku ya mwezi mpya itakuwa ni ng'ombe mume mchanga mkamilifu; na wana-kondoo sita, na kondoo mume; nao watakuwa wakamilifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati wa sikukuu ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wanakondoo sita, na kondoo dume mmoja; wote wasio na dosari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wana-kondoo sita na kondoo dume, wote wasiwe na dosari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wana-kondoo sita na kondoo dume, wote wasiwe na dosari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na siku ya mwezi mwandamo itakuwa ni ng'ombe dume mchanga mkamilifu; na wana-kondoo sita, na kondoo dume; nao watakuwa wakamilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati wa sikukuu ya mwezi mwandamo atatoa fahali mchanga, wanakondoo sita, na kondoo dume mmoja; wote wasio na dosari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya mwandamo wa mwezi atatoa ndama ya ng'ombe ya kiume asiye na kilema na wana kondoo sita na dume moja, wote sharti wawe pasipo kilema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na siku ya mwezi mpya itakuwa ni ng’ombe mume mchanga mkamilifu; na wana-kondoo sita, na kondoo mume; nao watakuwa wakamilifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati wa sikukuu ya mwandamo wa mwezi atatoa mwana-ngombe dume, wana-kondoo sita, na kondoo dume mumoja; wote wasiokuwa na kilema.